28/10/2026
KIZAZI CHAANGAMIA!
Mlijidai kujua, ila kimya mkabaki,
Wachache waloongea, wakaziita ni haki,
Watoto wakapotea, kuwakanya hatutaki,
Kizazi chaangamia, inatutafuna dhiki,
Dhambi kuu duniani, ni kimya cha ajuaye!
Malenga wa mlimani