19/07/2023
" every person that you meet God has a purpose for it, don't judge or allow to lose a person you meet with too easily despite their weakness, let's give them enough time to our life because on one side they have something special we might need some day in our life"
MUNGU hua Ana kila sababu ya kukukutanisha na mtu kwenye maisha yako, tusiruhusu kupoteza watu mapema kwenye maisha yetu bila kuwapa muda wa kutosha kuona wamekuja na Nini kwenye maisha yetu haijalishi mapungufu walionayo lakini Kuna upande Wana kitu unaweza ukakihitaji K**a msaada au faida kwenye maisha yako...