MawazoChanya

MawazoChanya Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from MawazoChanya, Financial Consultant, Kitanzini, Iringa.

Ukurasa rasmi wa kufunua siri zilizofichika za kiroho.
📜 Siri za Kiroho na Nyota
🦋 Alama za Mwilini na Ishara za Asili
💡 Hekima ya Maisha na MawazoChanya
👇 BONYEZA LINK HAPA CHINI UJIUNGE NA VIP

01/08/2026

27/07/2026
Kuna maumivu ambayo maneno hayawezi kuyaelezea. Kuna pengo ambalo hakuna mtu anaweza kuliziba. Leo moyo wangu umebeba hu...
25/07/2026

Kuna maumivu ambayo maneno hayawezi kuyaelezea. Kuna pengo ambalo hakuna mtu anaweza kuliziba.

Leo moyo wangu umebeba huzuni kubwa baada ya kumpoteza baba yangu mpendwa, Emmanuel Simoni Kinyota.

Nimekuwa nikisimama mbele ya maelfu ya watu nikihubiri tumaini, imani na nguvu za Mungu. Lakini leo, nami pia ninahitaji maombi yenu.

Baba, asante kwa maisha uliyoyaishi, kwa malezi uliyonipa, kwa maadili uliyonifundisha na kwa upendo uliounyesha.

Mchango wako katika maisha yangu utaendelea kuishi milele.
Ingawa mwili wako umetutoka, kumbukumbu zako zitabaki mioyoni mwetu daima. Tunaamini kwamba Mungu ndiye mwenye mamlaka juu ya maisha yetu, na tunamkabidhi kila jambo kwa imani.

Kwa wote mlionitumia ujumbe wa pole, mlioniombea na mnaoendelea kusimama pamoja nami na familia yangu, ninawashukuru kwa dhati. Upendo wenu umetufariji sana katika kipindi hiki kigumu.

Pumzika kwa amani, Baba yangu mpendwa, Emmanuel Simoni Kinyota. Hutasahaulika kamwe. 🕊️🤍

Kwa wale wote wanaotaka kutuma salamu za pole au kutoa rambirambi kwa hiari, tafadhali tukutane kwenye comment ya kwanza. Asanteni sana kwa upendo wenu na Mungu awabariki.

20/07/2026

Mwanadamu hakuumbwa kuishi k**a kisiwa peke yake; mifumo yetu ya ustawi, amani, na mafanikio imeunganishwa kwa kiasi kikubwa na mahusiano ya watu wanaotuzunguka. Katika somo la leo, tunaangalia kwa nini tunahitaji watu sahihi katika maisha yetu, na jinsi uhusiano thabiti unavyoweza kuwa daraja la kuvuta nishati ya heri na baraka kuelekea hatima yako.

​Miongozo yote ya jinsi ya kutambua watu sahihi wa kuambatana nao na namna ya kujenga mazingira ya nishati chanya nimeiweka ndani ya kundi letu la MawazoChanya VIP.

​JINSI YA KUJIUNGA:
Ada ya kujiunga ni Tsh 10,000/ tu kwa mwezi. Maelezo kamili ya namba ya malipo ya Josephu Emmanuel Simoni na utaratibu kwa ajili ya wanachama wa nje ya nchi nimeyaweka kwenye Wasifu/Bio yangu hapo juu.

​HATUA YA CHUKUA:
Gonga kitufe cha "Tuma Ujumbe" (Send Message/DM) hapo chini sasa hivi, kisha unitumie ujumbe wa muamala wako ili nikuunganishe moja kwa moja na kundi la washindi. Wahi sasa kujenga hatima yako ya baadae!

11/07/2026

#

11/07/2026

11/07/2026

Address

Kitanzini
Iringa
51101

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when MawazoChanya posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share