LET’S TALK Finance

  • Home
  • LET’S TALK Finance

LET’S TALK Finance Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from LET’S TALK Finance, Financial Consultant, .

Our Event on Nanenane Day was the best ever. Thank you all for coming to support us and we shall see you again on Decemb...
10/08/2023

Our Event on Nanenane Day was the best ever. Thank you all for coming to support us and we shall see you again on December 9th, 2023. 🙏🏿

===============

Event yetu ya siku ya Nanenane ilikuwa ya mafanikio makubwa sana. Tunawashukuru kwa kuja na tuonane tena tarehe 9 Disemba 2023. 🙏🏿

Katika ulimwengu uliolemewa na vikwazo vya kifedha, kutafuta uhuru wa kifedha kunakuwa jambo kuu. Ni kuhusu kujinasua ku...
04/08/2023

Katika ulimwengu uliolemewa na vikwazo vya kifedha, kutafuta uhuru wa kifedha kunakuwa jambo kuu. Ni kuhusu kujinasua kutoka kwa madeni na rasilimali chache, kujipa uwezo wa kuunda siku zijazo zilizojaa uwezekano usio na kikomo.

Uhuru wa kifedha sio tu kukusanya mali; ni kuhusu kupata udhibiti wa maisha yako. Inakupa uhuru wa kufanya uchaguzi unaolingana na maadili yako, kukuweka huru kutokana na mikazo ya kifedha.

Kupata uhuru wa kifedha huleta usalama na amani ya akili. Inakuwezesha kujenga wavu wa usalama, kujikinga na wapendwa wako kutokana na dharura zisizotarajiwa. Ukiwa na msingi huu, unaweza kukabiliana na changamoto za maisha kwa kujiamini.

Zaidi ya hayo, uhuru wa kifedha hufungua milango kwa fursa zisizo na kifani. Inatoa njia za kuwekeza ndani yako, kutafuta elimu zaidi, na kuchunguza ubia mpya. Unaweza kukimbiza ndoto zako bila kuzuiwa na vikwazo vya kifedha, na kuleta matokeo chanya katika maisha yako na wengine.

Kimsingi, kufikia uhuru wa kifedha ni kuhusu uwezeshaji. Inakuwezesha kuunda hatima yako, kuishi maisha kulingana na masharti yako, na kubuni siku zijazo zinazochanganya wingi wa kifedha na utimilifu wa kibinafsi. Kwa hivyo, anza safari hii ya mabadiliko na ujifungulie uwezo wa uhuru wa kifedha.

atatupitisha kwenye mada hii kwenye event ya siku ya . Pata ticket yako kabla ya deadline.

Tukiwa tumemaliza nusu ya kwanza ya mwaka na kuanza nusu ya pili,   tunafurahi kuwaletea event yetu ya tatu ya mwaka 202...
24/07/2023

Tukiwa tumemaliza nusu ya kwanza ya mwaka na kuanza nusu ya pili, tunafurahi kuwaletea event yetu ya tatu ya mwaka 2023 ambayo itafanyika siku ya Jumanne tarehe 8 Agosti 2023 (Nanenane), kwenye ukumbi wa PSSSF Commercial Complex , Sam Nujoma Road, Dar es Salaam.

Tumekuandalia wataalam ambao watakupitisha kwenye mada mbalimbali ambazo zitakujengea maarifa kwenye fedha na uwekezaji.

Mada:
1. Jinsi ya Kutengeneza Mikondo Mingi ya Mapato ambayo itafundishwa na mwanzilishi wetu

2. Jinsi ya Kuchambua Biashara na Makampuni ili Kufanya Maamuzi ya Uwekezaji ambayo itafundishwa na mwekezaji na mfanyabisahara - Abbas Kimvuli

3. Jinsi ya Kujenga Utajiri Wa Vizazi na Vizazi ambayo itafundishwa na mwanzilishi wetu

4. Jinsi ya Kukuza VICOBA kuwa Kikundi cha Uwekezaji. Mada hii itafundishwa na Dr. Amina Abdul (PhD) ambaye ni Financial Consultant kutoka Bridge Consult

5. Jinsi ya Kuboresha Mtazamo Wako Wa Kifedha ambayo itafundishwa na Mjasiriamali wa Kimataifa

6. Pia tutakuwa na mmoja Kati ya Hazina Kubwa sana kwa Taifa Letu, Mr. Joel Nanauka ambaye atatupitisha kwenye hatua za kufikia uhuru wa kipato.

Hakika hii sio ya kukosa kabisa. Pata ticket yako sasa kwa kutuma malipo kwenda kwenye Tigo Lipa Namba 6157205 au VODA LIPA NAMBA 5888729 kisha tuma muamala kwenye WhatsApp +255755518289.

65,000/- mpaka 31/07/2023
80,000/- kuanzia tarehe 01/08/2023
Mwisho wa kununua ticket ni 06/08/2023

K**a ungependa kuhudhuria Online tuma neno “FINANCE” kwenda Whatsapp +255657710791 au bonyeza link kwenye BIO. Gharama ya Online ni 40,000/-.

Chakula kitamu cha mchana na Vinywaji vitapatikana BURE. 😋

WASILIANA NASI KWA KUDHAMINI NA USHIRIKIANO KWA NAMBA 0755 518 289 au 0763 600 556

Tukiwa tumemaliza nusu ya kwanza ya mwaka na kuanza nusu ya pili,   tunafurahi kuwaletea event yetu ya tatu ya mwaka 202...
06/07/2023

Tukiwa tumemaliza nusu ya kwanza ya mwaka na kuanza nusu ya pili, tunafurahi kuwaletea event yetu ya tatu ya mwaka 2023 ambayo itafanyika siku ya Jumanne tarehe 8 Agosti 2023 (Nanenane), kwenye ukumbi wa PSSSF Commercial Complex , Sam Nujoma Road, Dar es Salaam.

Tumekuandalia wataalam ambao watakupitisha kwenye mada mbalimbali ambazo zitakujengea maarifa kwenye fedha na uwekezaji.

Mada:
1. Jinsi ya Kutengeneza Mikondo Mingi ya Mapato ambayo itafundishwa na mwanzilishi wetu

2. Jinsi ya Kuchambua Biashara na Makampuni ili Kufanya Maamuzi ya Uwekezaji ambayo itafundishwa na mwekezaji na mfanyabisahara - Abbas Kimvuli

3. Jinsi ya Kujenga Utajiri Wa Vizazi na Vizazi ambayo itafundishwa na mwanzilishi wetu

4. Jinsi ya Kukuza VICOBA kuwa Kikundi cha Uwekezaji. Mada hii itafundishwa na Dr. Amina Abdul (PhD) ambaye ni Financial Consultant kutoka Bridge Consult

5. Jinsi ya Kuboresha Mtazamo Wako Wa Kifedha ambayo itafundishwa na Mjasiriamali wa Kimataifa

6. Pia tutakuwa na mmoja Kati ya Hazina Kubwa sana kwa Taifa Letu, Mr. Joel Nanauka ambaye atatupitisha kwenye hatua za kufikia uhuru wa kipato.

Hakika hii sio ya kukosa kabisa. Pata ticket yako sasa kwa kutuma malipo kwenda kwenye Tigo Lipa Namba 6157205 kisha tuma muamala kwenye WhatsApp +255755518289.

50,000/- mpaka 20/07/2023
65,000/- kuanzia 21/07/2023 mpaka 31/07/2023
80,000/- kuanzia tarehe 01/08/2023
Mwisho wa kununua ticket ni 06/08/2023

K**a ungependa kuhudhuria Online tuma neno “FINANCE” kwenda Whatsapp +255657710791 au bonyeza link kwenye BIO. Gharama ya Online ni 40,000/-.

Chakula kitamu cha mchana na Vinywaji vitapatikana BURE. 😋

WASILIANA NASI KWA KUDHAMINI NA USHIRIKIANO KWA NAMBA 0755 518 289 au 0763 600 556

Wanaume na VICOBA. Hivi kwanini Wanaume wengi hawapo kwenye VICOBA?
28/04/2023

Wanaume na VICOBA. Hivi kwanini Wanaume wengi hawapo kwenye VICOBA?

Tunapenda kuchukua nafasi hii kuwashukuru wakufunzi wetu wa   iliyofanyika jana 26/04/2023 pale  kwa kutoa mada nzuri na...
27/04/2023

Tunapenda kuchukua nafasi hii kuwashukuru wakufunzi wetu wa iliyofanyika jana 26/04/2023 pale kwa kutoa mada nzuri na kwa umahili.

Familia nzima ya LTF inawashukuru kwa kazi nzuri mnayoifanya kwenye kuwaelimisha Watanzania 🇹🇿 kwenye masuala ya fedha na uwekezaji. 🙏🏿

Mwanzilishi wa Let’s Talk Finance  akiwa na mmoja wa washiriki wa kongamano la   ambalo lilifanyika jana pale .
27/04/2023

Mwanzilishi wa Let’s Talk Finance akiwa na mmoja wa washiriki wa kongamano la ambalo lilifanyika jana pale .

Eid Mubarak to all our Muslim Brothers and Sisters. ✨🌙Je unakumbuka ulivyokuwa mtoto siku K**a ya leo ukisimama barabara...
22/04/2023

Eid Mubarak to all our Muslim Brothers and Sisters. ✨🌙

Je unakumbuka ulivyokuwa mtoto siku K**a ya leo ukisimama barabarani na kila mtu mwenye kanzu akipita unamwmabia na kumuomba pesa na anakupatia? K**a unakumbuka basi wewe ni 😂

Wito kwa   wa  kuhakiki taarifa zao ili kuweza kupata gawio kwa wakati.
17/04/2023

Wito kwa wa kuhakiki taarifa zao ili kuweza kupata gawio kwa wakati.

LTF Financial Services Limited tunawatakia wakristo wote Easter Njema. Leo ni siku ya kufurahi na familia mambo ya kuban...
09/04/2023

LTF Financial Services Limited tunawatakia wakristo wote Easter Njema. Leo ni siku ya kufurahi na familia mambo ya kubana matumizi tutaendelea jumanne. 😂😂😂

Leo tunamalizia na sheria ya tano ya dahabu/pesa kutoka kwenye kitabu cha The Richest Man in Babylon.Sheria hii inasema;...
11/03/2023

Leo tunamalizia na sheria ya tano ya dahabu/pesa kutoka kwenye kitabu cha The Richest Man in Babylon.

Sheria hii inasema; “Pesa humkimbia yoyote ambaye atailazimisha mapato yasiyowezekana au ambaye hufuata ushauri unaovutia kutoka kwa matapeli au anayetegemea ujuzi wake mdogo na tamaa zake katika uwekezaji wake.”

Sharia hii inazungumzia tamaa zetu za kupata mafanikio ya haraka. Unataka kuwekeza pesa kidogo na ndani ya muda mchache uwe tajiri. Kwa sababu ya tamaa zetu, matapeli wengi sana wanakuja na fursa ambazo zinaahidi kukupa pesa nyingi sana ndani ya muda mfupi na bila wewe kufanya kitu.

Ni vyema kufahamu kwamba, utajiri hautakuja ndani ya siku moja. Unahitaji kazi na muda pia. Hivyo tuepuke vishawishi vya kupata pesa nyingi ndani ya muda mfupi. Zikija fursa zinazofutia wewe tulia kwanza na fanya utafiti wako kabla ya kuingia.

Hivyo hapa ndio tumehitimisha sheria zetu tano kutoka kwenye kitabu cha “The Richest Man in Babylon”. Ukifauata sheria hizi za pesa utakuwa na msingi mzuri sana wa fedha wa sasa na baadaye. Msingi huu utakupeleka kwenye uhuru wa kipato na kuacha urithi kwa vizazi vyako.

Leo tunaangalia sheria ya Nne ya Dhahabu/Pesa kutoka kwenye kitabu cha “The Richest Man in Babylon”.Sheria hii inasema, ...
09/03/2023

Leo tunaangalia sheria ya Nne ya Dhahabu/Pesa kutoka kwenye kitabu cha “The Richest Man in Babylon”.

Sheria hii inasema, “Pesa humpotea yoyote ambaye huwekeza kwenye biashara au madhumuni ambayo hana uelewa juu yake au ambayo hayajathibitishwa na wale ambao wana ujuzi juu yake.”

Sheria hii inatukumbusha kuhakikisha kuwa tunaelewa uwekezaji ambao tunafanya. Usiwekeze tu sababu wengine wanawekeza. Lazima wewe K**a wewe upate uelewa wa uwekezaji husika. Vile vile, uwekezaji unaoufanya ni muhimu ukawa umethibitishwa na vyombo husika kwa mfano .go.tz ambao wanathibiti masoko ya uwekezaji.

Je umewahi kuwekeza bila kuwa na uelewa au kwenye uwekezaji ambao haujathinitishwa? Nini kilitokea? Tupe experience yako. 😊

Address

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when LET’S TALK Finance posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share