09/05/2026
Kabla TRA hawajakagua biashara yako… je, wewe umeikagua? Mwezi huu wa Mei, Thalia Associates tunatoa Tax Health Check BURE kwa biashara binafsi na kampuni yako. Hakuna gharama kabisa.
✅ Tambua mapungufu ya compliance
✅ Gundua risks zilizojificha
✅ Pata ushauri wa kitaalamu wa kuboresha
Wasiliana nasi leo kupata ofa hii.
0676634617 au 0769405953 au baruapepe [email protected]