18/09/2024
Una laki Mbili (200,000/=), Njoo Chukua Kiwanja.
*********************MRADI MPYA WA VIWANJA*********************
VIKINDU CITY - TUJENGE WOTE (VIWANJA VIKO 40 TU)
Hayawi Hayawi ......!!!!!
Tumekusogezea tena mradi uliokuwa unasubiriwa kwa hamu na wengi wa viwanja Vikundu - Majumba Sita Vianzi.
Viwanja viko 40 tu. Bei ni 675,000/= Tu.
Viwanja hivi sio vya kukosa kwani tumeleta utaratibu ambao wateja wengi wamekuwa wakiutaka kwa hamu sana.
Sasa utaweza KULIPIA KWA AWAMU 200,000/= tu utakabidhiwa kiwanja na kuruhusiwa kuendelea na ujenzi.
Kisha kiasi kilichobaki utalipa kidogo kidogo Kila mwezi ndani ya miezi mitano.
Yaani malipo ya kiwanja chako utalipia 100,0000/= tu kila mwezi ndani ya Miezi MITANO tu.
Piga Simu au Whatsapp Namba: 0763412325.
Viwanja hivi ni MAKAZI TU (SPECIAL RESIDENTIAL PLOT)
Ukubwa wa kiwanja: 50 kwa 40 futi
VIWANJA hivi vina sifa kuu ya barabara kufikika ktk viwanja vyote.
PIA HUDUMA ZOTE ZA KIJAMII ZINAPATIKANA: UMEME, MAJI & SHULE
KWA MAWASILIANO ZAIDI TUPIGIE: 0763412325