Uhuru na Kipato

Uhuru na Kipato Tunawasaidia watanzania wenye changamoto ya mfumo bora wa biashara kuweza kupata mfumo bora wa biash

07/04/2024

Asante sana Mungu.. Mkutano wetu wa tarehe 6/04 ulikuwa wa moto sanaa.. Asanteni wote ambao muliweza kushiriki katika mkutano huu... ...

Watu wa kigamboni mumefikiwa... Wasiliaana nami upate ticketi yako 0712030070
22/03/2024

Watu wa kigamboni mumefikiwa... Wasiliaana nami upate ticketi yako 0712030070

Jambo ni jambo.... 06.04.2024 si yakukosaaa morogoro tuna jambo letu.... 🔥🔥🔥🔥🔥yaani morogoro inaenda kupata mambo mazuri...
21/03/2024

Jambo ni jambo.... 06.04.2024 si yakukosaaa morogoro tuna jambo letu.... 🔥🔥🔥🔥🔥

yaani morogoro inaenda kupata mambo mazuri... k**a ww ni mwana njoo ww, rafiki na ndugu yako... mupate mafunzo haya ... 🌩💥💥

Mungu ampe kila mmoja wetu  Jicho la tatu kuielewa hii Fursa , Kuna mambo Mazuri sana mbeleni Mungu amekuandalia hujui t...
30/08/2023

Mungu ampe kila mmoja wetu Jicho la tatu kuielewa hii Fursa , Kuna mambo Mazuri sana mbeleni Mungu amekuandalia hujui tuu, Kwa sasa ni k**a Unapanda mbegu, unawekeza Muda wako , pesa pia, Training unahudhuria - sasa kumbuka Ile mbegu itaanza kuzaa, Ikifika WAKATI WA MAVUNO - tafadhali uwepo ✍️✍️👋! Wengine wanaachia Baraka zao Njiani , Cecilia aliyekuja Miaka 6 iliyopita leo hii ni Mtu wa TOFAUTI kabisa kabisa kabisa ..... Endelea kung’ang’ania na kupiga kazi , your Time is Coming 💪

1. Biashara ya Mtandao ni nini?Biashara ya mtandao ni mfumo ambao ulianzishwa uko Ulaya kwa lengo la kuweza kuondoa tati...
05/06/2023

1. Biashara ya Mtandao ni nini?
Biashara ya mtandao ni mfumo ambao ulianzishwa uko Ulaya kwa lengo la kuweza kuondoa tatizo la ajira na kuweza kurahisisha usambazaji wa bidhaa au huduma.

Biashara hii k**a nilivyosema hapo mwanzo ni mfumo wa biashara ambao mbali na kumlipa mwanachama (member) wa kampuni pindi anunuapo bidhaa kila mwezi,mwanachama huyo pia hulipwa aingizapo mwanachama mpya na pia hulipwa kila mwezi kutokana na manunuzi ya mwezi mzima. Hii inamaanisha kuwa mbali na mwanachama kujiingizia faida ya reja reja kupitia mauzo ya bidhaa anazonunua moja moja kutoka kiwandani pia atarudishiwa asilimia flani ya manunuzi yake (bonus) kila mwezi kulingana na jumla ya manunuzi yake kwa mwezi.
Pia kampuni itamlipa yeye akiwa k**a ''upliner'' kwa manunuzi yatakayofanywa na wanachama aliofanikiwa kuwaingiza katika kampuni yake anayofanya nayo biashara.
Wanayabiashara wengi duniani wanausapoti mfumo huu, watu k**a kina Robert Kiyosaki, Michael Loise, Jim Rhon, James Mang'amba na wengine wengi ni watu waliofanikiwa kupitia mfumo na kupitia biashara hii wanajiingizia mamilioni ya pesa kila mwezi,na wanatoa mafunzo mbali mbali kuhusiana na biashara hii.

2. Historia ya biashara ya mtandao/Network marketingHii biashara ilianza mwanzoni mwa karne ya ishirini miaka ya 1920s h...
05/06/2023

2. Historia ya biashara ya mtandao/Network marketing
Hii biashara ilianza mwanzoni mwa karne ya ishirini miaka ya 1920s huko Marekani kupitia kiwanda kimoja kilichokuwa kikijihusisha na utengenezaji wa virutubisho vya mwili,kiwanda hicho kilianzisha mfumo wa kuwalipa fidia wateja waliokuwa wakizinunua bidhaa zao, pia iliwalipa watu waliofanikiwa kuwaingiza watu wapya katika mtandao wa ununuaji na usambazaji wa bidhaa za kiwanda hicho. Kupitia mfumo huu kiwanda hicho kiliweza kukua kwa kasi sana kitu kilichosababisha wafanya biashara wakubwa wengine wajiunge na mfumo huu na kufungua makampuni mbalimbali yaliyoanza kufanya biashara kwa kutumia mfumo huu.Mpaka sasa hivi karibia watu laki moja wanajiunga na mfumo huu wa biashara kila wiki nchini marekani na zaidi ya watu milioni mia tisa kumi na tano wanafanya na hii biashara duniani kote.

3. Utaitambuaje Kampuni ya kweli ya Mtandao / Network Marketing i. Historia Ya KampuniZipo kampuni ambazo zinaanza biash...
05/06/2023

3. Utaitambuaje Kampuni ya kweli ya Mtandao / Network Marketing
i. Historia Ya Kampuni
Zipo kampuni ambazo zinaanza biashara na baada ya muda mfupi zinapotea au kufilisika. K**a ulikuwa mmoja wa wanachama wa kampuni ya namna hiyo, lazima utakuwa umeathirika kwa namna fulani. Inabidi upate kampuni ambayo ina historia ya kufanya biashara kwa muda mrefu, kwa ufanisi na ambayo biashara yake bado inaendelea kukua na si ile ambayo imefikia ukomo. Njia rahisi ya kupata taarifa hii ni kupitia internet ingawa kuwauliza ndugu na marafiki wengine inaweza kusaidia pia.
ii. Uchumi wako
Makampuni mengi ya MLM ya gharama za kujiunga, Je hiyo gharama unaiweza na Je, huko tayari kupoteza uwekezaji wako k**a hakuna mtu hatanunua bidhaa au kujiunga chini yako wewe? K**a ni hivyo, endelea. K**a siyo, acha na fikiria upya.

iii. Bidhaa
Bei ya bidhaa za hio kampuni unaziweza kununua na je gharama za hio bidhaa inauzika kwa jamii yako, itakupatia faida, intataua matatizo ya jamii yako. Hio bidhaa inamfanya mtumiaji aweze kutumia mara kwa mara (mwezi kwa mwezi or mwaka hai mwaka)

iv. Mwongozo wa kampuni
Chagua kampuni yenye mwongozo mzuri wa kibiashara, Mipango fidia kutofautiana kutokakampuni moja ya mtandao na nyingine. Tathmini ya mpango wa kulipa fidia na ulipaji wa kamisheni. Kamisheni lazima kulipwa juu ya ununuji wa bidhaa we na timu yako unayoiongoza, na siyo ada ya uanachama.

Swali zuri kujiuliza itakuwa, "Naweza bado pesa k**a mtandao wangu tu wa kutumia bidhaa na haina kuajiri (kuunganisha) mtu yeyote?" Jibu lazima "YES," vinginevyo, kukimbia kwa haraka k**a unaweza!

v. Elimu ya Biashara
Hiki ndiyo muhimu sana katika biashara ya mtandao elimu na mbinu za biashara utazipata kwa gharama iliyo sawa na bure

Robert Kiyosaki aliandika katika kitabu chake The Business School that “the number one hidden value of network marketing is the life-changing business education”.
Tofauti na shule rasmi ya biashara ambapo walimu si lazima awe wafanyabiashara wa biashara anayo ifundisha, kwenye biashara ya mtandao mwalimu wa biashara hii ni mfanyabiashara pia na elimu anaitoa bure,Hii ni biashara shule ambapo wakufunzi kweli uzungumzia ya halisi ya maisha uzoefu wao.

Viongozi biashara ya mtandao ufundisha mitazamo, mafanikio, uongozi, stadi za watu, kuondokana na hofu, lengo kuweza, ujuzi wa mawasiliano, ujuzi fedha, na kadhalika

4. Utofauti kati ya biashara ya mtandao na Pyramid Scheme Kuna baadhi ya watu utawasikia wakisema biashara ya mtandao ni...
05/06/2023

4. Utofauti kati ya biashara ya mtandao na Pyramid Scheme

Kuna baadhi ya watu utawasikia wakisema biashara ya mtandao ni pyramid scheme. Ukweli ni kwamba, Hapana.

Pyramid scheme ni biashara inayofanywa bila kuwepo bidhaa ya kuiuza, au kutaja bidhaa ambazo hazieleweki au ambazo zina bei za juu na haziuziki kirahisi. Kwenye pyramid scheme, pesa mara nyingi huwa ndiyo bidhaa. Biashara za Pyramid Schemes hukatazwa kisheria.

Unaweza kutofautisha biashara halali ya mtandao na pyramid schemes kwa kutazama mkazo unaowekwa kwenye biashara.

kampuni ya mtandao ina bidhaa ambazo zimeuzwa kwa kipindi kirefu na kuwasadia watu wengi, pyramids huweka mkazo kwenye kusajili watu wajiunge na kampuni na kusisitiza kupewa mafao kutokana na uwingi wa watu uliowasajili na si bidhaa utakazouza. Pyramids hutoa matangazo ya kupata pesa nyingi na kwa muda mfupi sana na kukuahidi kukupandisha ngazi kulingana na idadi ya watu utakaowasajili.

Biashara ya pyramid hutaka uwekeze kiasi kikubwa cha pesa ili usajiliwe nao tofauti na biashara halali za mtandao.

Aina moja ya Pyramid schemes ni Ponzi scheme.

Ponzi scheme ni uwekezaji wa kijanja unaolenga kuwaibia watu kwa kuwalipa wanachama waliopo kupitia pesa inayotolewa na wanachama wapya na kuleta picha ya kupata mafao na faida wakati hakuna kitu. Wenzetu wanaita the “rob Peter to pay Paul” principle.

5. Kwanini biashara ya mtandao ni biashara ya karne ya 21?Sababu kubwa ya kufumka kwa biashara ya mtandao ni ukosefu wa ...
05/06/2023

5. Kwanini biashara ya mtandao ni biashara ya karne ya 21?
Sababu kubwa ya kufumka kwa biashara ya mtandao ni ukosefu wa kuwa na uhakika katika ajira, watu wengi wanaanza kuliona hilo; na, upatikanaji wa ajira kila siku unazidi kuwa mgumu. Idadi ya watu duniani kila siku inaongezeka kwa haraka sana kuongezea ugumu wa upatikanaji wa ajira.

Watu wenye maono ya mbali na kuihisi hali halisi, wameanza kuchukua hatua na wanajiunga na biashara ya mtandao. Miaka 50 ijayo itaonyesha wimbi jipya la mamilionaire kutoka biashara ya mtandao. Sasa hivi, wachache tayari wameanza kujichomoza.

6. Ni watu gani wanafaa kufanya Network Marketing / Biashara ya mtandaoHii biashara inawezekana kufanywa na watu wafuata...
05/06/2023

6. Ni watu gani wanafaa kufanya Network Marketing / Biashara ya mtandao
Hii biashara inawezekana kufanywa na watu wafuatao hapo chini:-
 Waajiriwa
 Wafanyabiashara
 Wamama wa nyumbani
 Wajasiliamali
 Wanachuo
 Wahitimu wa chuo
 Wasio na ajira/kazi

Kitu kikubwa ambacho inabidi uwe nacho ndani ya moyo wako ni kwamba hii ni biashara yako na itabidi uisimamie kwa nguvu zako zote. Pia tambua kuwa hii siyo biashara ambayo utaifanya kwa miezi mitatu tu na ukawa Tajiri Hapana. Ila unauwezekano mkubwa kwa mwaka mmoja ukaifanya hii biashara ipasavyo basi utakuwa kwenye mafanikio mazuri.

Address

1854
Morogoro

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Uhuru na Kipato posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Uhuru na Kipato:

Share